Wajasiliamali inabidi tukumbuke professional  etu imejikita zaidi kweye kubuni mawazo ambayo yatapelekea kuanzisha biashara mbalimbali, na vyanzo vizuri vya kupata mtaji wa kuendeshea biashara hizo. 
kwa kufanya hivyo tutaweza kujipatia vipato sisi na tulowaajili, pamoja na kupishana na magari ya umasikini uliopo katika  nchi zetu  hizi za kimasikini.  
Pia tukumbuke sisi sio wa kuwaza jinsi tutakavyopata ajira bali angalau huo mda tuutumie katika kubuni biashara zenye mtazamo mzuri katika taasisi zote za kiserikali au zisizo za kiserikali ambazo huhusika katika utoaji wa mikopo ya kuendeshea biashara  
asanteni.  
 by Chacha Kitareti
